ALICHOSEMA MULIRO KUHUSU WALEVI MKOA WA DAR ES SALAAM
Автор: TaiMediaTz
Загружено: 2025-12-22
Просмотров: 225
Описание:
Watu wanne wamehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya ulawiti na ubakaji Mkoa wa Dar es salaam.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, wakati anaongea na wanahabari kweye ofis za kanda Dar es Salaam.
Watu hao ni Abubakari Memba mkazi wa Mbagala, ambaye Mahakama ya Wilaya ya Temeke kumkuta na hatia ya kulawiti, Julius Jasto, mkazi wa Ukonga ambaye Mahakama ya Wilaya ya Ilala kumkuta na hatia kwa kosa la kulawiti, Paul Elisa mkazi wa Kawe ambaye Mahakama Wilaya ya Kinondoni kumkuta na hatia kosa la kubaka pamoja na Erick Muhagama mkazi wa Kimara ambaye Mahakama ya Wilaya ya Ubungo kumkuta na hatia kwa kosa la kulawiti.
✍🏿 @mariamshabanitz
#taimweusi🦅 #taimedia #taimediatz #taimediatv #tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: