ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kibonge Wa Yesu - Waambie (Official Visualizer) SKIZA DIAL ( *811*715# )

Автор: KIBONGE WA YESU

Загружено: 2024-05-10

Просмотров: 162527

Описание: Yapo Mambo mengi ambayo Adui mwovu anayafanya ili kutufarakanisha na Mungu wetu lakini Mungu anatambua wenye haki na ndio walio wake hivyo anawapigania na kuwalinda dhidi ya yule Mwovu. Mungu anatupenda na anatubariki kwa kila hatua tunazopiga haijalishi ni wangapi wanasimama kinyume na Ndoto na maono yetu lakini bado tunapiga Hatua.

Kumb 11:24
"Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Lebanoni, na tokea mto wa Frati, mpaka bahari ya magharibi, itakuwa ndiyo mipaka yenu."

Audio produced by @ClickMaster
Visual by ​ @ap.creative1

Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
Listen to WAAMBIE by Kibonge Wa Yesu
On Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/m...
On Audiomack: https://audiomack.com/kibonge-wa-yesu...

©2024KiboMelodies. All rights Reserved.

#Kibongewayesu #Waambie #gospelmusic

LYRICS :

Nenda waambie wajue Mungu ananipenda
nenda waambie wajue Mungu ananipenda
verse 1:
Ile mitego tego walonitegea ameitegua
na mipaka yote nilowekewa ameiondoa
wakafanya mpaka matambiko
ili niweze potea
kwa huruma za Mungu bado nipo
yeye amenitetea
wamezuia maji kwa chujio
na yameshindwa yao majaribio
mola ndo mpaji mafanikio yanatoka kwake
akisema ndio

bridge :
Ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
chorus :
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

verse 2
Kwa vile ananipenda
kivyovyote nitasema
hakuna atae zuia hata kwa yoyote hila
na ameyaweka mambo sawa
na sasa mimi niko salama

bridge :
Ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
chorus :
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kibonge Wa Yesu - Waambie (Official Visualizer)  SKIZA DIAL ( *811*715# )

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Kibonge Wa Yesu - My Blessings (Nahesabu baraka) Live version

Kibonge Wa Yesu - My Blessings (Nahesabu baraka) Live version

Джем – Kibonge Wa Yesu - Waambie (Official Visualizer)  SKIZA DIAL ( *811*715# )

Джем – Kibonge Wa Yesu - Waambie (Official Visualizer) SKIZA DIAL ( *811*715# )

Boaz Danken-YESU MPENZI MWAMINIFU

Boaz Danken-YESU MPENZI MWAMINIFU

Yahweh Sitasauhau Yale Unatenda | Tukuza Nami  ( Official Audio ) Swahili Worship.

Yahweh Sitasauhau Yale Unatenda | Tukuza Nami ( Official Audio ) Swahili Worship.

Джем – KIBONGE WA YESU

Джем – KIBONGE WA YESU

Anatupigania_Joshua Assey ft kibonge wa Yesu(Official video)

Anatupigania_Joshua Assey ft kibonge wa Yesu(Official video)

Echoes of Africa 🌍 | Zulu Voices for Deep Calm & Serenity

Echoes of Africa 🌍 | Zulu Voices for Deep Calm & Serenity

GODFREY STEVEN - I WISH YOU GOOD REMIX FT  Asagwile, Obby, Japhet,Naomi, Kibonge, Simon Mlinda

GODFREY STEVEN - I WISH YOU GOOD REMIX FT Asagwile, Obby, Japhet,Naomi, Kibonge, Simon Mlinda

Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA

Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA

Kibonge Wa Yesu - Nasemezana (Official Video)

Kibonge Wa Yesu - Nasemezana (Official Video)

RHUMBA MIX 2021 STREET VIBE MIXTAPE Vol.22 - DJ FABIAN 254 ( MADILU SYSTEM, FRANCO, FALLY IPUPA )

RHUMBA MIX 2021 STREET VIBE MIXTAPE Vol.22 - DJ FABIAN 254 ( MADILU SYSTEM, FRANCO, FALLY IPUPA )

AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI

AMBWENE MWASONGWE: BINTI WA IMANI

Walter Chilambo - ONLY YOU JESUS (Official Music Video) For Skiza Sms

Walter Chilambo - ONLY YOU JESUS (Official Music Video) For Skiza Sms "DIAL*811*757#

Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )

Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )

Kibonge Wa Yesu - Mungu Ameniona (Yesu ametu update)(Official Music Video) Skiza Dial *811*715#

Kibonge Wa Yesu - Mungu Ameniona (Yesu ametu update)(Official Music Video) Skiza Dial *811*715#

Elia Mtishibi Ft Zoravo - Jirani (Official Video)

Elia Mtishibi Ft Zoravo - Jirani (Official Video)

Kibonge Wa Yesu - Usinyamaze (Visualizer)  SMS Skiza 8021081 To 811

Kibonge Wa Yesu - Usinyamaze (Visualizer) SMS Skiza 8021081 To 811

The Mafik - Tunaanza na Mungu ( Official Music Video )

The Mafik - Tunaanza na Mungu ( Official Music Video )

NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI VIDEO  WORSHIP SONG NONSTOP 2024 VOL 8

NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI VIDEO WORSHIP SONG NONSTOP 2024 VOL 8

Kibonge wa Yesu - Tusichoke Kupambana Ft. Banana Zorro (Official Video)

Kibonge wa Yesu - Tusichoke Kupambana Ft. Banana Zorro (Official Video)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]