UJENZI WA SGR KIGOMA - BURUNDI KUTUMIA TRILIONI 5, WAZIRI MBARAWA ATOA AGIZO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-01-29
Просмотров: 2322
Описание:
DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Burundi wamesaini mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Uvinza hadi Msongati Burundi, Mkataba huo wenye thamani ya Shilingi Trilioni 5.6 .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mkataba huo, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha mradi huo unafuata vigezo vya Kimataifa vya Usalama pia isimamie bajeti vizuri ili kuzuia gharama zisizokuwa za lazima.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: