WAKE WATATU WA MAREHEMU SAULI WAFUNGUKA WALIVYOKUWA WAKIISHI NAE "ALIKUA ANATUPENDA SANA"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2024-08-09
Просмотров: 124985
Описание:
Hapa ni katika Kijiji Cha Kibaoni wilayani Chunya mkoani Mbeya ambapo ni nyumbani kwa mfanyashara maarufu wa Madini na Mmiliki wa mabasi ya Sauli ambaye sasa ni marehemu Sauli Solomoni Mwahabhila.
Marehemu Sauli alifariki Agosti 4 mwaka huu mkoani Pwani kwa ajali ya gari na kuzikwa Katika makaburi ya familia Kijiji Cha Godima huku mtoto wake wa miaka 3 akinusurika katika ajali hiyo.
Ayo tv na Millardayo.com imefika Hadi katika Kijiji hicho alipokuwa akiishi marehemu na kuzungumza na wake Watatu wa marehemu wamesema marehemu alikua na Wake wanne na mmoja alifariki hivyo wamebaki Watatu na watoto 16.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: