KARIBU KUTAZAMA HABARI MTUNGINI LEO JAN 9,2025 KUPITIA OPEN ONLINE MEDIA
Автор: Open Online Media
Загружено: 2026-01-09
Просмотров: 3
Описание: Ofisi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma “Duka la Viwanja, zitakuwa wazi hata siku ya kesho Jumamosi Januari 10, 2026 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 alasiri kwa lengo la kuwapa wananchi fursa ya kufanya malipo ya viwanja, hususan upatikanaji wa control number ndani ya muda wa notisi ya siku 21 iliyotolewa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: