Gari la Mbunge Ludewa lazuiliwa na Wananchi, wampa makavu /tutajua Mbunge mwongo -
Автор: KAHITILA 255
Загружено: 2023-03-12
Просмотров: 1700
Описание:
Wakazi wa kijiji cha Lusitu kilichopo kata ya Madope wilayani Ludewa mkoani Njombe wamezuia gari la Mbunge wa Ludewa kuendelea na ziara ,wakati akipita kijiji kwao, wakitaka kupewa ufafanuzi kuhusu maombi yao ya 2020 ya kufungiwa huduma ya umeme,maji na afya ambazo zimekuwa kikwazo kwa maendeleo ya jamii zao kwa muda mrefu.
Kijiji cha Lusitu kilichopo mpakani mwa wilaya ya Njombe na Ludewa kimekuwa kwenye changamoto ya huduma hizo tangu uhuru,hali ambayo ikalisukuma kanisa la Roman Catholic kwa kushirikiana na umoja wa ulaya kujenga mradi wa umeme unautumia maji na kisha kuunganisha katika kata 6 za wilaya ya Ludewa ili kuwaondoa gizani jitihada ambazo hazijafanikiwa ipasavyo hadi sasa kwa kuwa umeme hauna nguvu na unamgao uliyopindukia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: