Jinsi ya kupika Chicken 🍗 kabsa/how to make chicken kabsa
Автор: official ummul Abbas cooking
Загружено: 2025-09-05
Просмотров: 727
Описание:
*Chicken Kabsa*🍗🍗
Kabsa ni mlo wa Kiarabu unaopikwa kwa mchele, kuku au nyama, na viungo mbalimbali. so leo tujifunze jinsi ya kupikaa hatua kwa hatua
📝 MAHIITAJ (Ingredients):
Kuku mzima (kipande kipande) – 1 au size yk
Kitunguu saumu – punje 3-5 (ya kusagwa)
vitunguu maji – 2 (vikatwe vidogo)
Nyanya – 2 (zilizomenywa na kusagwa au kukatwa)
Tomato paste – kijiko 1-2
Pilipili hoho – 1 (ya kijani au nyekundu, kata vipande)
Pilipili manga – 1/2 kijiko cha chai
Hiliki (cardamom) – 4-5 punje
Karafuu – 4 punje
Tangawizi ya kusagwa – kijiko 1 cha chai au mbich
Maganda ya mdalasini – 1 au 2
Majani ya giligilani (coriander) – kikombe 1 (ya kukata fresh au kavu)
Maji – ya kutosha kupika kuku na mchele
Mafuta ya kupikia
Mchele wa Basmati – 2 vikombe (loweka kwa dakika 20)
Zabibu (s lazima) – 1/4 kikombe
Karoti – 1 au 2 (kata nyembamba kama vijiti)
Chumvi
Korosho (si lazima)– za kukaanga kwa mapambo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: