Safari ya mwisho ya Padre Asterius Mutegeki Jimboni Bukoba/ Huzuni na simanzi zatawala.
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2023-08-22
Просмотров: 8013
Описание:
MISA YA KUMUOMBEA, MAREHEMU PADRE ASTERIUS MUTEGEKI
Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba, Askofu Method Kilaini alipowaongoza Maaskofu, Mapadre Watawa na waamini katika adhimisho la ya Misa takatifu ya kumuaga na kumuombea Marehemu Padre Asterius Mutegeki aliyekuwa anafanya Utume wake Parokia Ishozi Jimbo katoliki la Bukoba.
Misa Takatifu imefanyika katika Parokia ya Bikira Maria mpalizwa Mbinguni - Rubya Agosti 21 2023 na kuadhimishwa na Askofu Method Kilaini Msimamizi wa kitume Jimbo Katoliki-Bukoba, na baadae mwili wa Padre Asterius Mutegeki kupumzishwa katika makaburi ya Mapadre Rubya Jimboni Bukoba.
Raha ya milele umpe Ee Bwana apumzike Kwa amani.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: