Kazi Yangu Ikiisha Nitamjua Mwokozi nifikapo Mbinguni -WITH LYRICS
Автор: TRUE WORSHIP TV
Загружено: 2021-04-20
Просмотров: 24918
Описание:
Tenzi za Rohoni
Lyrics: Kazi yangu ikiisha
Nitamjua, nitamjua,
nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua,
kwa alama za misumari.
1. Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka;
Na kuvaa kutokuharibika,
Nitamjua Mwokozi nifikapo ng’amboni;
Atakuwa wa kwanza kunilaki.
2. Furaha nitapata nikiona makao
Bwana aliyotuandalia;
Nitamsifu mwokozi kwa rehema na pendo
Vilivyonipa pahali Mbinguni.
3. Nao waliokufa katika Bwana Yesu,
Nitawaona tena huko juu;
Lakini nifikapo kwake huko Mbinguni,
Nataka kumwona Mwokozi kwanza.
4. Milangoni mwa mji Bwana atanipitisha,
Pasipo machozi wala huzuni.
Nitauimba wimbo wa milele; lakini
Nataka kumwona Mwokozi kwanza.
Tenzi za rohoni, Wimbo wa tenzi, hymn songs
Tenzi za Rohoni No 102 - Kazi Yangu ikiisha
Music in this video
Song
Kazi Yangu Ikiisha
Artist
pastor Julius M.K
Album
Kazi Yangu Ikiisha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: