ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2020-10-10

Просмотров: 86128

Описание: #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Sikuwahi kukutana na Dr Mwaka mimi kabla ya tarehe 26 ya mwezi wa tisa, ila nilishawahi kuongea nae kwa simu mara mbili kabla ya kukutana, hatukuwa marafiki ila maongezi yetu ya mara ya kwanza kwenye simu yalinifanya nijue kwa kiasi yeye ni mtu wa aina gani, na nilivyokutana nae pia iliongeza heshima yangu kwake kwa kazi anayofanya na aina ya mtu yeye alivyo. Nisiseme kwa kupepesa, alini impress na nilijifunza vitu kadhaa kwa muda mchache niliokaa naye na kuongea nae.

Alikuja na mkewe kwenye set ya kipindi na alihakikisha mkewe anafika mpaka kwenye ‘kizuizi’ cha mwisho kabisa kabla ya kufika kwenye meza ya mahojiano na pia alihakikisha macho yake na ya mkewe yanagongana kila anakapopenda kufanya hivyo. Wakati mwengine watu hufanya mambo kwaajili ya camera ili wapate kuongelewa, ila kwa wanaopendana kila kitu huwa kinakua wazi, jinsi wanavyoongea, wanavyocheka, wanavyoangaliana na mengineyo imenipa sababu ya mimi kukubali kwamba wawili hawa ni wanapendana kweli. Na tukumbuke kwamba huyo si mke pekee wa Dr JJ Mwaka kama sote tunavyofahamu, ila hakuna ubishi kwamba yeye pia ni mke wake pendwa kabisa.

Maongezi yetu yalianzia kwenye asili yake kama kawaida, na aina ya maisha anayoishi sasa. Kama ni kipaji au alienda shuleni kusoma haya anayoyafanya, na suala la yeye kuwa Daktari Bingwa wa nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kina Mama, na kama hizo tu ndo tiba yeye hufanya. Alinza lini? Alirithishwa? Na je wakati mwengine maneno watu wanasema juu yake yanamkera au yanampa motisha ya kufanya zaidi? Unaikumbuka ile skendo ya kutaka kufungiwa ofisi? Aliimalizaje? Na chimbuko lake haswa hiyo story ni wapi? Ilikuaje akachomoka humo? Na Kuna khadithi na mahusiano yake na wake zake? Hana mmoja mwenzangu. Anawezaje kukaa na wote? Alishapitia ndoa ngapi? Je kasomea taaluma yake hii? Biashara ina faida? Je kuhusu skendo ya kutumia magonjwa ya wanawake na kujipatia wake ni kweli?

Kusema za ukweli tumeongea sana, na nimejifunza sana kupitia mazungumzo haya na kama ilivyo ada natumai na wewe utaokota mawili matatu na pengine kupata idea ya ajira na kujikwamua kwa hapa na pale. Dr Mwaka pia ni mtu anayependa watu wengine waendelee na aliniambia kama kwa yeye kuja kwenye kipindi kutasaidia hata kwa theluthi tu na kufanya vijana na wengine wajiongeze basi angependa kuja na alifanya hivyo, kwa hilo namshkuru sana. Tafadhali enjoy rafiki.

Love,
Salama.

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 2

Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 2

DR MWAKA afunguka SIRI nzito USIZOZIJUA kuhusu UCHAWI na unavyofanya KAZI

DR MWAKA afunguka SIRI nzito USIZOZIJUA kuhusu UCHAWI na unavyofanya KAZI

KUMEKUCHA VIJANA WA KINONDON

KUMEKUCHA VIJANA WA KINONDON

WOMEN MATTERS: WANAWAKE NDIO WANAMATATIZO YA NGUVU ZA KIKE, HAWAFIKI KILELENI

WOMEN MATTERS: WANAWAKE NDIO WANAMATATIZO YA NGUVU ZA KIKE, HAWAFIKI KILELENI

NYWILA (3) ZA MAFANIKIO HALISI ZA DR. J.J MWAKA

NYWILA (3) ZA MAFANIKIO HALISI ZA DR. J.J MWAKA

Dr Mwaka afichua SIRI kuhusu IMANI katika ULIMWENGU wa ROHO.. Kwanini MAOMBI mengi hayajibiwi

Dr Mwaka afichua SIRI kuhusu IMANI katika ULIMWENGU wa ROHO.. Kwanini MAOMBI mengi hayajibiwi

🔴LIVE: JINA LAKO LINA UMUHIMU GANI KIMAISHA, LA MAMA YAKO JE? SASA FAHAMU HAPA | HARD TALK..

🔴LIVE: JINA LAKO LINA UMUHIMU GANI KIMAISHA, LA MAMA YAKO JE? SASA FAHAMU HAPA | HARD TALK..

🔴TAZAMA DR.MWAKA ALIVYOMTOLEA UVIVU MTANGAZAJI,

🔴TAZAMA DR.MWAKA ALIVYOMTOLEA UVIVU MTANGAZAJI, "WANAWAKE MNAPENDA KUDANGANYWA | WANAWAKE WAANDAMANA

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

"NA NI MARADHI YA KIUME YASIYOTIBIKA KIRAHISI." ~ Dr. Mwaka Kwa Niaba Ya Wanaume

Dr Mwaka huyu hapa! Ana mapya kibao, akumbushia ya Wema na Idris, nguvu za kiume, kuzamia treni

Dr Mwaka huyu hapa! Ana mapya kibao, akumbushia ya Wema na Idris, nguvu za kiume, kuzamia treni

UTAMUELEWA HATA BILA YEYE KUJIELEZA || JARIBU HIZI HACK ZA DR. J.J. MWAKA

UTAMUELEWA HATA BILA YEYE KUJIELEZA || JARIBU HIZI HACK ZA DR. J.J. MWAKA

MUISLAMU KUOMBEWA NA MCHUNGAJI, MKRISTO KUOMBEWA NA SHEHE NI SAWA? | HARD TALK

MUISLAMU KUOMBEWA NA MCHUNGAJI, MKRISTO KUOMBEWA NA SHEHE NI SAWA? | HARD TALK

WOMAN MATTERS: HIVI MWANAMKE AKIWA NA TUMBO KUBWA HUMPUNGUZIA CONFIDENCE/ KUJIAMINI? NINI KIFANYIKE?

WOMAN MATTERS: HIVI MWANAMKE AKIWA NA TUMBO KUBWA HUMPUNGUZIA CONFIDENCE/ KUJIAMINI? NINI KIFANYIKE?

Dr Mwaka asimulia alivyoishuhudia NGUVU ya MUNGU live kwenye kazi zake, inatisha!

Dr Mwaka asimulia alivyoishuhudia NGUVU ya MUNGU live kwenye kazi zake, inatisha!

Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2

Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2

TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MVULANA & JE, WANAWAKE HUDHARAU WANAUME WASIO NA PESA? ~ Dr. J.J. Mwaka

TOFAUTI KATI YA MWANAUME NA MVULANA & JE, WANAWAKE HUDHARAU WANAUME WASIO NA PESA? ~ Dr. J.J. Mwaka

WANAUME ACHENI KULAMBA LIPS TAFUTENI KWA JASHO ILI MSIDHARAULIKE....DK MWAKA

WANAUME ACHENI KULAMBA LIPS TAFUTENI KWA JASHO ILI MSIDHARAULIKE....DK MWAKA

"Dr Mwaka Alinifanyisha Kazi Bila Malipo | Aliniambia Nimuachie Kila Kitu"

CHADEMA KANDA YA PWANI WAPIGA SPANA NZITO, MZEE WARIOBA, MBOWE WATAJWA, WATAKA LISSU AACHIWE HURU

CHADEMA KANDA YA PWANI WAPIGA SPANA NZITO, MZEE WARIOBA, MBOWE WATAJWA, WATAKA LISSU AACHIWE HURU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]