N'NA KWETU (SILSILA 3): Muhamaji atumia ushairi kusimulia hadithi ya kuhama Zanzibar
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2021-01-21
Просмотров: 5844
Описание: Miaka kadhaa iliyopita, mzee wangu huyu aliamua kuziweka kumbukumbu za kuhama kwake Zanzibar na kwenda kuishi ughaibuni kwenye shairi na kisha akampa mughani mashairi bingwa wa wakati huo, Marehemu Said Hamad wa kisiwani Pemba, alighani. Leo tunaipa nafasi hadithi yake hii kwenye GUMZO LA N'NA KWETU. Sikiliza, staaladhi na jifunze, kisha nawe weka maoni yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: