Jinsi ya Kutumia Application ya DSE Hisa Kiganjani
Автор: Exodus Advisory Services Limited
Загружено: 2025-05-16
Просмотров: 3894
Описание:
DSE Hisa Kiganjani ni application rasmi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) inayokuwezesha kununua na kuuza hisa, kufuatilia bei za hisa mubashara (live), na kupata taarifa muhimu za masoko kwa urahisi kupitia simu yako ya mkononi.
Kwa kutumia app hii, unaweza:
✅ Kufungua akaunti ya uwekezaji
✅ Kununua/Kuuza hisa popote ulipo
✅ Kupokea taarifa za masoko kwa wakati halisi
✅ Kufuatilia mwenendo wa hisa zako
Ni njia rahisi, salama, na ya kisasa ya kuwekeza katika soko la hisa la Tanzania.
Pakua leo kupitia Google Play Store au Apple App Store.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: