Ni nini maana ya Graphics Design?_ Ni mambo gani unazingatia kuiita kazi hii ni ya Graphics Design?
Автор: Joel Media
Загружено: 2022-06-29
Просмотров: 1386
Описание:
Naitwa Joel Kadaga, Creative Designer, by the way labda hii ilitakiwa kuwa video yangu ya kwanza kabisa kuapload katika chaneli hii, Wewe binafsi Unajibuje pale unapoulizwa Grapics Design ni nini? Unatofautishaje sanaa hii pamoja na nyingine, Ni mambo gan ya kuzingatia unapofanya au kuiita hii ni kazi Graphics? Wacha tuzungumze kuhusu hili.
Binafsi niko poa kama uko poa bonyeza like ili kushow love na kuifanya video hii kuwafikia wengi zaidi, na kama hauko poa usjali hakikisha unafanya unachopenda ili ufurahie maisha kwasababu ukifanya unachopenda hutachoka. Subscribe kama hujafannya hivyo ili ujifunze zaidi kuhusu Graphics Design, Videography, Photography na Technology
Bonyeza hapa Kupata Kozi zangu: https://app.gumroad.com/joemedia
Jifunze Graphics Design na creative skills zingine kupitia skillshare: https://skl.sh/3CBASHU
Support me on Patreon Page: https://bit.ly/3LtQwIV
Download Free Music: (No Copyright): https://uppbeat.io?referral=joel-4zfn5
Follow me on
Instagram: / joemediagro. .
Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_
Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_
Email: [email protected]
0:00 - Logo Reavel
0:04 - Intro
1:26 - Graphics Design?
2:26 - Nini maana ya Graphics?
4:29 - Nini maana ya Design?
5:25 - Nini maana ya Graphics Design?
7:01 - End screen
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: