E HABARI FEB 12 2026 BIASHARA/TUME YA TEHAMA NCHINI YAANZA KUZITAMBUA KAMPUNI CHANGA ZA TEHAMA
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 32
Описание:
SERIKALI kupitia Tume ya Tehama nchini imeanza kuzitambua kampuni changa za tehama ikiwa ni utekelezaji maagizo ya Rais Samia ambapo hadi sasa jumla ya kampuni changa 400 zimesajiliwa huku kati ya hizo 161 zikikidhi vigezo vya kuingia katika programu za uendelezaji na uwezeshwaji.
Akizungumza na wana habari jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa tume ya tehama nchini ICTC Dokta Nkundwe Moses Mwasaga amesema hatua ya kuanza kusajili kampuni hizo za Tehama ni maagizo ya serikali kwa ajili ya kutekeleza malengo ya dira ya mwaka 2050 ikiwa ni katika kuelekea katika kujenga uchumi wa kidigitali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: