ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mafuta ya USO wenye MAFUTA | Mafuta mazuri ya Ngozi ya Mafuta (Best face Moisturizers for oily skin)

Автор: Julia Ayieta

Загружено: 2021-01-03

Просмотров: 49938

Описание: Uso wa mafuta au ngozi ya mafuta inaweza kuwa changamoto kwa watu wengi, wanaume na wanawake na kupata mafuta mazuri yatakayo faa uso wa mafuta ningumu zaidi maana mafuta mengi ya huso huwa na utaratibu wa kusababisha chunusi au pimples.
#usowenyemafuta #ngoziyenyemafuta #mafutayauso
Kwahiyo ni muhimu sana kuwa maakini na mafuta upakayo usoni pia ni muhimu kusoma viungo au bidhaa zilizo katika hiyo mafuta uinunuayo maana usipozingatia hayo kuna uwezekano wa wewe kununua mafuta ya uso ambayo haiambatani na ngozi yako ya uso na hii ni hasara maana ukinunua bidhaa usiyo itumia ni sawa na kitupa hela zako dirishani.

Hivyo basi, nimefanya hii video ambayo ninaonyesha baadhi ya mafuta ya uso ninayo tumia katika uso wangu wa mafuta bila kunisabishia mimi kuwa na mafuta mengi usoni,chunusi au hata pimples.

Nimeenda kiundani zaidi na kuelezea ni viungo gani muhimu kwa mafuta ya uso hasa wenye mafuta.

Ni matumaini yangu kuwa utaelimika na kuwa na idea ya mafuta gani ni bora kwa uso wako wa mafuta.

This video is NOT SPONSORED and everything I shared is for informational purposes en my own experience *

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mafuta ya USO wenye MAFUTA | Mafuta mazuri ya Ngozi ya Mafuta (Best face Moisturizers for oily skin)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Products I Would Never Let My Family Use (Dermatologist Approved NO List) | Dr. Sam Ellis

Products I Would Never Let My Family Use (Dermatologist Approved NO List) | Dr. Sam Ellis

Huyu ndio mmiliki wa Gugu Beauty Salon, alivyoanza utashangaa, ana wateja balaa! Hii ni siri yake

Huyu ndio mmiliki wa Gugu Beauty Salon, alivyoanza utashangaa, ana wateja balaa! Hii ni siri yake

Te skecze przejdą do historii! - Kabaret Moralnego Niepokoju - Wielki Test o Historii i Skojarzenia

Te skecze przejdą do historii! - Kabaret Moralnego Niepokoju - Wielki Test o Historii i Skojarzenia

MAFUTA 5 MAZURI KWA WATU WENYE CHUNUSI NA KWA NGOZI ZA MAFUTA/best moisturizer for oily skin

MAFUTA 5 MAZURI KWA WATU WENYE CHUNUSI NA KWA NGOZI ZA MAFUTA/best moisturizer for oily skin

MAFUTA MAZURI KWA NGOZI ZENYE MAFUTA MENGI/Tibu chunusi haraka/the best moisturizer for oily skin

MAFUTA MAZURI KWA NGOZI ZENYE MAFUTA MENGI/Tibu chunusi haraka/the best moisturizer for oily skin

KUPIŁEM NOWY WARSZTAT!

KUPIŁEM NOWY WARSZTAT!

Straszna PRAWDA o KSeF. Dr Artur Bartoszewicz

Straszna PRAWDA o KSeF. Dr Artur Bartoszewicz

Broń atomowa to tylko zasłona. Szewko wyjaśnia, o co chodzi na linii USA-Iran

Broń atomowa to tylko zasłona. Szewko wyjaśnia, o co chodzi na linii USA-Iran

SCRUB ya USO wenye MAFUTA (Scrub nzuri kwa Ngozi ya Mafuta )

SCRUB ya USO wenye MAFUTA (Scrub nzuri kwa Ngozi ya Mafuta )

Sekretne zastosowanie rzeczy o których nie miałeś pojęcia!

Sekretne zastosowanie rzeczy o których nie miałeś pojęcia!

Mafuta Na Lotion Nzuri ya kupaka usoni na mwilini na kuondoa makovu ya chunusi usoni

Mafuta Na Lotion Nzuri ya kupaka usoni na mwilini na kuondoa makovu ya chunusi usoni

Egzorcyzmy, handel Cejrowskim, początki kariery (Cejrowski u Żurnalisty, cz. 1/2)

Egzorcyzmy, handel Cejrowskim, początki kariery (Cejrowski u Żurnalisty, cz. 1/2)

ZYCIE W CZWÓRKĘ JEST CUDOWNE 🩵🩷

ZYCIE W CZWÓRKĘ JEST CUDOWNE 🩵🩷

Jinsi Ya Kutibu Chunusi na Uso wenye mafuta

Jinsi Ya Kutibu Chunusi na Uso wenye mafuta

Jinsi ya kutengeneza wax ya sukari ya kunyoa ( how to make  sugar wax)

Jinsi ya kutengeneza wax ya sukari ya kunyoa ( how to make sugar wax)

Usichokijua Kuhusu NGOZI YA MAFUTA | Epuka MADHARA Haraka!

Usichokijua Kuhusu NGOZI YA MAFUTA | Epuka MADHARA Haraka!

Jinsi Ya Kupata Makalio Makubwa

Jinsi Ya Kupata Makalio Makubwa

Spend a BAD DAY with Me ( How I make the most out of a bad day)

Spend a BAD DAY with Me ( How I make the most out of a bad day)

LOTION YA KURAINISHA NGOZI //RINJU & RAZAC

LOTION YA KURAINISHA NGOZI //RINJU & RAZAC

Jinsi ya kutunza ngozi ya USO wenye Mafuta (skincare routine for oily skin)

Jinsi ya kutunza ngozi ya USO wenye Mafuta (skincare routine for oily skin)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]