Mambo yawiva, ACT Malindi wachukuwa fomu rasmi ZEC | GUMZO LA UCHAGUZI
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2025-09-03
Просмотров: 5062
Описание: Wagombea wa chama cha ACT Wazalendo kwa ngazi za uwakilishi na udiwani katika jimbo la Malindi Unguja, wamechukuwa rasmi fomu za kuwania nafasi hizo kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 kutoka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) hivi leo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: