ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAZIRI JERRY SILAA ATUA MBEYA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA TARI ATOA MAAGIZO MAZITO

Автор: Site Tv Online

Загружено: 2023-11-23

Просмотров: 2681

Описание: Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya makazi Mhe Jerry Silaa, ameagiza kufanyika haraka kwa tathmin ya wananchi waliopo katika eneo lenye ekari zaidi ya 60 katika mitaa ya Sae na Ituha jijini Mbeya, Ili walipwe fidia na Wizara ya kilimo kwaajili ya kuacha eneo hilo liendelee kubaki chini ya kituo cha utafiti wa Kilimo Tanzania TARI kituo cha Uyole jijini humo.

Silaa ameagiza tathmini hiyo ianze kufanyika kuanzia Jumamosi kwa wananchi ambao wako tayari kuthamini maeneo yao, ikiongozwa na mtathmini Mkuu wa Serikali pamoja na Kamishna wa ardhi nchini Ili kutoa nafasi kwa Wizara ya kilimo kulipa fidia kwa wananchi hao na kutoa nafasi kwa kituo cha utafiti kuendelea kukuza secta ya kilimo kupitia tafiti zinazofanywa na TARI.

Awali akiwasikisha taarifa kwa Waziri, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe Beno Malisa, amesema changamoto kubwa katika eneo hilo wamekua wakikwamisha kufikia mwafaka wa mgogoro huo, kutokana na kukataa kukaa pamoja kama walivyo agizwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa madai kwamba hawana muda huku wakiendelea na ujenzi wa nyumba katika eneo hilo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAZIRI JERRY SILAA ATUA MBEYA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA TARI ATOA MAAGIZO MAZITO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI -

WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...

Dkt. Tulia aingilia kati mgogoro wa kiwanja cha kanisa na Jiji la Mbeya

Dkt. Tulia aingilia kati mgogoro wa kiwanja cha kanisa na Jiji la Mbeya

WAZIRI SILAA ARUDISHA ENEO LA NAIBU WAZIRI WA ZAMANI LILILOKUWA NA MGOGOGORO -''MKAMALIZE MIRATHI''

WAZIRI SILAA ARUDISHA ENEO LA NAIBU WAZIRI WA ZAMANI LILILOKUWA NA MGOGOGORO -''MKAMALIZE MIRATHI''

MMILIKI WA S. H. AMON AKUMBANA NA WAZIRI SILAA KARIAKOO, MGOGORO WA JENGO LA GHOROFA WATATULIWA

MMILIKI WA S. H. AMON AKUMBANA NA WAZIRI SILAA KARIAKOO, MGOGORO WA JENGO LA GHOROFA WATATULIWA

MWILI WA MAREHEMU WAGOMBANIWA ZANZIBAR, AZIKWE KIISLAMU AU KIKRISTO?,

MWILI WA MAREHEMU WAGOMBANIWA ZANZIBAR, AZIKWE KIISLAMU AU KIKRISTO?, "MZOZO SIKU 5"

WAZIRI SILAA AREJESHA KIWANJA KILICHOPORWA na TAJIRI wa MABASI ya TAHMED TANGA -

WAZIRI SILAA AREJESHA KIWANJA KILICHOPORWA na TAJIRI wa MABASI ya TAHMED TANGA - "BORA UKOSE MALI"..

Silaa amaliza utata wa aliyebadili ardhi ya makazi kuwa eneo la ufugaji Njiro, ataka mifugo itolewe

Silaa amaliza utata wa aliyebadili ardhi ya makazi kuwa eneo la ufugaji Njiro, ataka mifugo itolewe

Jerry Silaa Kuhusu Wenyekiti Wa Mitaa Kuuza Ardhi | Aeleza Mwenye Haki ya Kurithi Ardhi | Clouds360

Jerry Silaa Kuhusu Wenyekiti Wa Mitaa Kuuza Ardhi | Aeleza Mwenye Haki ya Kurithi Ardhi | Clouds360

ALIYENUSURIKA KUPORWA KIWANJA NA MUSHI APEWA HATI, MUSHI AKOSA VIELELEZO, AWEKWA CHINI YA ULINZI

ALIYENUSURIKA KUPORWA KIWANJA NA MUSHI APEWA HATI, MUSHI AKOSA VIELELEZO, AWEKWA CHINI YA ULINZI

MAPYA WAZIRI JERRY SILAA AMALIZA MGOGORO WA MWAKA 74 TABORA, ATOA MSIMAMO

MAPYA WAZIRI JERRY SILAA AMALIZA MGOGORO WA MWAKA 74 TABORA, ATOA MSIMAMO "STYLE YA TEGESHA"

Чечня УБИТА ГОРЕМ! Проклятие Кадыровых: был приказ УБРАТЬ Адама. Братская война. Откопали ВСЮ ПРАВДУ

Чечня УБИТА ГОРЕМ! Проклятие Кадыровых: был приказ УБРАТЬ Адама. Братская война. Откопали ВСЮ ПРАВДУ

Gwajima azungumzia mgogoro wa ardhi Mbopo

Gwajima azungumzia mgogoro wa ardhi Mbopo

Kimenuka: WAZIRI SILAA Aingilia Kati Mgogoro mkubwa wa Aridhi Mbeya

Kimenuka: WAZIRI SILAA Aingilia Kati Mgogoro mkubwa wa Aridhi Mbeya

BALAA! WAUZA NYUMBA YA MCHINA WAKIJUA KAFA NA CORONA KUMBE YUPO HAI

BALAA! WAUZA NYUMBA YA MCHINA WAKIJUA KAFA NA CORONA KUMBE YUPO HAI

MAAGIZO ya WAZIRI SILAA ARUSHA YATEKELEZWA kwa 99% na KAMISHNA wa ARDHI - APITA MTAA kwa MTAA....

MAAGIZO ya WAZIRI SILAA ARUSHA YATEKELEZWA kwa 99% na KAMISHNA wa ARDHI - APITA MTAA kwa MTAA....

SHANGWE LAIBUKA BUNGENI JERRY SILAA AKIJIBU MASWALI BILA KUSOMA, AWATAJA WABUNGE WALIOMFUATA

SHANGWE LAIBUKA BUNGENI JERRY SILAA AKIJIBU MASWALI BILA KUSOMA, AWATAJA WABUNGE WALIOMFUATA

Mzozo wa ardhi Sae Jijini Mbeya Spika Tulia, Bashe na RC Homera wakuna vichwa

Mzozo wa ardhi Sae Jijini Mbeya Spika Tulia, Bashe na RC Homera wakuna vichwa

Mfanyabiashara Mbeya 'Amvunja Mbavu' Rais Magufuli

Mfanyabiashara Mbeya 'Amvunja Mbavu' Rais Magufuli

CAMERA ZA SIRI ZILIVYONASA WIZI WA MAMILIONI / WAZIRI BASHE AWA MKALI,

CAMERA ZA SIRI ZILIVYONASA WIZI WA MAMILIONI / WAZIRI BASHE AWA MKALI, "INATOSHA".

JERRY SILAA ALIVYOPIGA NONDO NZITO MBELE YA RAIS SAMIA

JERRY SILAA ALIVYOPIGA NONDO NZITO MBELE YA RAIS SAMIA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]