MWABUKUSI AFUNGUKA KUONDOLEWA KUGOMBEA U-RAIS TLS, ATANGAZA KUFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-07-07
Просмотров: 4265
Описание:
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Dar es Salaam. Sakata la Boniface Mwabukusi kuenguliwa katika kinyang'anyiro cha kuwania rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limechukua sura mpya baada ya wakili huyo kukusudia kwenda kutafuta haki yake mahakamani.
Mbali na hilo, Mwabukusi amewaomba mawakili wenzake
kumuunga mkono kwa kutoshiriki uchaguzi wa TLS wakiishinikiza
wale wote waliotia nia kuwania nafasi hiyo kurejeshwa na Kamati ya uchaguzi wa chama hicho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: