Magoli - Chama apiga mbili, Singida BS ikiichapa Al Hilal 2-1 Fainali CECAFA Kagame Cup 15/09/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 173186
Описание:
Clatous Chama amefunga magoli mawili na kuipa Singida Black Stars ubingwa wa CECAFA Kagame Cup 2025 kwa kuitandika Al Hilal ya Sudan mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa leo, KMC Complex, Dar es Salaam.
Chama amefunga magoli yake dakika ya 20 na 57 huku Al Hilal wakipata la kufutia machozi kupitia kwa Taha Abdelrazig dakika ya 31.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: