ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MSHINDE_MSHITAKI_WAKO

Автор: SHADAI TV

Загружено: 2026-01-29

Просмотров: 27

Описание: MSHINDE MSHITAKI WAKO.
(1PETRO 5:8) Muwe na kiasi na kukesha; kwakuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama Simba angurumaye , huzunguka zunguka , akitafuta mtu ammeze.Maana ya kiasi na kukesha ni kukaa katika utakatifu , kwa sababu shetani kazi yake ni kutafuta sababu ya kuwashitaki watakatifu.

(AYUBU 1:6-12, 2:1-3) Ukisoma hapo unaona Ayubu alivochochewa na shetan ili atende dhambi , sura ya 1:10 unaona shetani akisema , Wewe hukumzingira Kwa wigo pande zote , pamoja na nyumba yake , na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia , nayo Mali yake imeongezeka katika nchi. Kwahyo kumbe shetani anachokua anatamani kwako ni utende dhambi Ili ulinzi wa Bwana uondoke ili apate uhalali wa kukutesa , hapo ni kwamba kulikua na ulinzi wa Mungu kwa Ayubu mpaka Mungu mwenyewe alivyomruhusu shetan amjaribu.Kwahyo kesha ukikaa katika utakatifu ili kumshinda mshitaki wako kama Ayubu pamoja na mateso yote hakumtenda Mungu dhambi ndio maana alishinda.

(ZEKARIA 3:1-4) Ukisoma hapa inaonesha Yoshua kuhani mkuu amesimama mbele ya Malaika wa Bwana na shetani akiwa amesimama mkono wake wa kulia akiwa ni mshitaki wake , vazi alilokua amevaa ambalo ni dhambi, Mpaka pale Malaika wa Bwana alivyosema mvueni nguo hizi chafu, Tazama nimekuondolea uovu wako , nami nitakuvika mavazi ya thamani kubwa.

(WAEFESO 5:27) Inasema;Apate kujiletea kanisa tukufu , lisilo na dosari Wala kunyanzi Wala lolote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
Maana yake Mtakatifu akifanya dhambi anakua mtuhumiwa , Kristo akirudi kunyakua kanisa hatochukua kanisa lenye lawama , shutuma ya uovu maana shetani ndiye mshitaki wetu halali huzunguka zunguka akimtafuta mtu ammeze.

(1YOHANA 2:1) Watoto wangu wadogo , nawaandikia haya ili msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu kristo mwenye haki.
Maana ya( Mwombezi )ni mtetezi wetu, Shetani ni mshitaki wetu ila Yesu ndiye Mtetezi wetu ambapo tutendapo dhambi , tukarudi kutubu kwa unyenyekevu Yesu anakua mtetezi wetu na Mungu anatusamehe.

(LUKA 22:31-32) Ukisoma hapa Yesu alikua akitabiri kuhusu Petro kumkana; Shetani alitumia andiko la ZEKARIA 13:7b ili kuwapata kondoo ambao n wanafunzi wa Yesu katika ulimwengu wa Roho pale Yesu alipoenda kupigwa msalabani ili awatawanye , Lakini Yesu alikua ameshawaombea ambaye ni Mtetezi wetu na kumshinda shetani ambaye ni mshitaki wetu.

JE UTAMSHINDAJE SHETANI?
(UFUNUO 12:10-11)
1.Utamshinda kwa Damu ya Yesu .
2.Utamshinda Kwa Ushuhuda wa maisha yako.( Hapa haimaanishi ushuhuda wa kumuhaibisha shetani mfano; namshukuru Mungu nimefaulu masomo, nimenunua kiwanja n.k, Ushuhuda unaoongelewa hapa ni kwamba wewe huna dhambi mbele za Mungu na mwanadamu kwa sababu shetani anatafuta Sababu kutokana na dhambi ili akutese.
Amina 🙏 mbarikiwe na Bwana.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MSHINDE_MSHITAKI_WAKO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU

KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU

Шокирующая разница между евреями, иудеями и израильтянами | Тайны, которые раскрывает Библия

Шокирующая разница между евреями, иудеями и израильтянами | Тайны, которые раскрывает Библия

Roho ya kuto kulizika by mwl:kassian costantin

Roho ya kuto kulizika by mwl:kassian costantin

IELEWE BIBLIA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

IELEWE BIBLIA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

Евангелие в силе и чудесах: История д. Дубица | Подкаст

Евангелие в силе и чудесах: История д. Дубица | Подкаст "Включи свет"

Альбом « Огонь Веры » – Maranatha

Альбом « Огонь Веры » – Maranatha

Как Храм Соломона Был РАЗРУШЕН!

Как Храм Соломона Был РАЗРУШЕН!

IELEWE BIBLIA SEHEMU YA 6

IELEWE BIBLIA SEHEMU YA 6

1 ЧАС РУССКИХ ЦЫГАНСКИХ ХРИСТИАНСКИХ ПЕСЕН • молитва • поклонение (Vol. 4)

1 ЧАС РУССКИХ ЦЫГАНСКИХ ХРИСТИАНСКИХ ПЕСЕН • молитва • поклонение (Vol. 4)

Что значит простить? Прощёное воскресенье (Прямой эфир, 18.02.2026) / Осипов Алексей Ильич

Что значит простить? Прощёное воскресенье (Прямой эфир, 18.02.2026) / Осипов Алексей Ильич

UNAMUOGOPA NANI KWENYE MAISHA YAKO? by mwl Elisha john

UNAMUOGOPA NANI KWENYE MAISHA YAKO? by mwl Elisha john

Альбом

Альбом "ПОД ЗАЩИТОЙ ТВОИХ КРЫЛ" — 20 песен — Maranatha Brothers

USHUHUDA WAKUTISHA: KANISA ZIMA WAMWAGA MACHOZI, BINTI ALIYEKUWA NA MPENZI WAKE USIKU, KUSHINDA MA..

USHUHUDA WAKUTISHA: KANISA ZIMA WAMWAGA MACHOZI, BINTI ALIYEKUWA NA MPENZI WAKE USIKU, KUSHINDA MA..

Эдуард Грабовенко: Как преодолеть кризис веры (8 февраля 2026)

Эдуард Грабовенко: Как преодолеть кризис веры (8 февраля 2026)

NEW LIFE CHOIR_Safari ya mbinguni yahitaji moyo

NEW LIFE CHOIR_Safari ya mbinguni yahitaji moyo

Барзах: Скрытая жизнь через 40 дней после смертиИсламская история

Барзах: Скрытая жизнь через 40 дней после смертиИсламская история

Relaxing Bossa Nova ~ Cozy Patio Ambience ~ Spring Jazz Relaxation

Relaxing Bossa Nova ~ Cozy Patio Ambience ~ Spring Jazz Relaxation

Альбом « Небо ближе , чем ты думаешь »  Maranatha

Альбом « Небо ближе , чем ты думаешь » Maranatha

ТАКОЙ БЫЛА ЖИЗНЬ СЛЕПЫХ И ПАРАЛИЗОВАННЫХ ВО ВРЕМЕНА JESUS | ПРОСЯ МИЛОСТЫНЮ РАДИ ВЫЖИВАНИЯ

ТАКОЙ БЫЛА ЖИЗНЬ СЛЕПЫХ И ПАРАЛИЗОВАННЫХ ВО ВРЕМЕНА JESUS | ПРОСЯ МИЛОСТЫНЮ РАДИ ВЫЖИВАНИЯ

Весенняя джазовая утренняя атмосфера кофейни ~ Расслабляющий джаз для уютных утр

Весенняя джазовая утренняя атмосфера кофейни ~ Расслабляющий джаз для уютных утр

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]