Naibu rais Profesa Kindiki aahidi kutumikia wakenya kwa jitihadi zake
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2024-11-01
Просмотров: 1379
Описание:
Na baada ya kula kiapo kuwa naibu wa rais , profesa Kithure Kindiki , aliwahakikishia wakenya kwamba atawatumikia kwa jitihada zake huku akiletea serikalini tajriba ya miongo miwili katika utendakazi wake kwa taifa , pamoja na kunoga wake siasani hadi kufikia wadhifa wa naibu wa rais siku ya leo . Na kama anavyoarifu mwana habari wetu , Loise Wangui , bosi wake rais william ruto amesema kwamba profesa Kithure Kindiki , amemweleza pembeni kwamba yupo tayari kabisa kuwa msaidizi wake kuanzia leo.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: