MWANA MPOTEVU by Utulivu choir
Автор: CHORALE UTULIVU AMANI GOMA
Загружено: 2025-09-13
Просмотров: 23886
Описание:
Utulivu choir inakuleteya wimbo muzuri uitwao MWANA MPOTEVU by UTULIVU CHOIR #mwana #mpotevu #mwanampotevu
1. Nimekosa mbele zako Mungu, na mbele zako vilevile baba yangu,x2 sistahili tena kuitwa mwana wako x2 mimi ni mupotevu, ninachoomba unihesabu kama mtumishi wa watumishi wako x2.
Sarah : Nimepoteza muda wangu bure, Nimepoteza muda wangu bure, x2 sehemu a mali niliyoipewa na baba nimeimaliza bure, x2 kwa anasa za dunia, x2 niliowaza ni marafiki wa karibu wote wamenikimbiya, niliowaza ni marafiki wakaribu wotewamenitoroka x2 sinamsaadatena niheri tu nirudikwa Baba nimuombehuruma.
Tous :Sistahilitenakuitwamwanawako x2 mimi ni mupotevu.
Aliyepoteyaamerudikwangunifurahatelemoyoni x4.
Tantine : Namuonakwambalimwanangunimemuhurumiya x2, Sijalialiyoyafanya,Sijalialiyoyatenda mwanangu, sijalialiyoyafanya mimi sijalialiyoyatenda ;% la muhimualiyepoteyaameonekanaaa x2.
Tous : Babaeakasemamuleteyenivazinzurimukamuvikepetekidoleniviyatovizuriiliapendezechaguwenikondooaliyenonamukamuchinjetufurai
Sarah : Mwanangualipoteyaamerudi
Tous :Ameonekanatufurai
Tous :NdivyotulivyombelezaMunguwetumbinguni ni shangwemutumojaakiokoka
/ @utulivuchoir
• MWANA MPOTEVU by Utulivu choir
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: