“Serikali hii imeongeza mfumuko wa bei, hii sio sifa” –Abdallah Mtolea
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-06-21
Просмотров: 11217
Описание: June 21, 2018 Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea alisimama Bungeni ili kuchangia mapendekezo ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo amelieleza Bunge kuwa awamu ya tano ya uongozi imeongeza mfumuko wa bei wa bidhaa ikiwemo sukari na kuwasababishia wananchi hali ngumu ya kimaisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: