preparing pig 🐷 food/ jinsi ya kuchanganya chakula cha ngurue
Автор: livingson world
Загружено: 2023-09-02
Просмотров: 1485
Описание:
hichi ni chakula kwaajili ya ngurue wanaokuwa, kuanzia miezi 4-6
hapo tumechanganya virutubisho kama vile,
mpunga
mahindi
mashudu ya alizeti
dagaa
chumvi
chokaa
damu
n.k
kwenye maji ya ngurue kutakua na prebiotic, hii tutaonyesha kwenye video inayofuata.
please subscribe 🙏🏿
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: