MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2019-02-02
Просмотров: 606609
Описание: Nancy Lema ni msomi wa elimu ya Masters aliyoipata nchini Marekani ambapo mwaka 2015 aliamua kurudi nyumbani Tanzania na kutafuta Kazi kwenye Makampuni mbalimbali bila mafanikio ndipo akaamua kuingia mtaani kupika na kuuza Makande kwenye Ofisi mbalimbali za Mwanza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: