ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NO 1: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

Автор: ZANZIBAR YETU

Загружено: 2025-12-26

Просмотров: 7866

Описание: Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Awataka Waislamu Kutekeleza Matendo Mema

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka Waislamu kote nchini kuishi kwa vitendo misingi ya dini yao kwa kutekeleza matendo mema na kusimamia haki, kama Uislamu unavyoelekeza.

Othman alitoa wito huo leo katika Msikiti wa AL- Ghaithiy. uliopo Mwera Kidogo Basi, mara baada ya kukamilika kwa ibada ya Swala ya Ijumaa.

Alisema kuwa jamii hupata imani na matumaini pale inapokuwa na viongozi wanaosimamia haki za wananchi kwa uadilifu, hususan viongozi Waislamu wanaotarajiwa kuongozwa na misingi ya dini yao.

“Jamii inaamini pale inapomwona kiongozi anayesimamia haki zao ni Muislamu, wakitarajia kutendewa haki. Lakini leo, katika shehia zetu, wapo masheha ambao ni Waislamu lakini bado wanawakandamiza Waislamu wenzao kwa kuwanyima haki zao,” alisema Othman.

Aliongeza kuwa ni jambo la kusikitisha kuona mtu anayejitambulisha kama Muislamu akitumia mamlaka yake vibaya hadi kufikia kumwaga damu ya Muislamu mwenzake, kitendo ambacho ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.

Katika kuhitimisha hotuba yake, Mwenyekiti huyo aliwausia waumini hao kusimamia haki kwa vitendo na kuwekeza katika elimu na mafunzo ya haki, ili kujenga jamii yenye kuaminiana, mshikamano na amani ya kweli.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NO 1: UONGOZI NI KUSIMAMIA HAKI - OMO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

🔴#LIVE: MWABUKUSI ANAFUNGUKA MUDA HUU AGUSIA SAKATA YA KESI YA LISSU

🔴#LIVE: MWABUKUSI ANAFUNGUKA MUDA HUU AGUSIA SAKATA YA KESI YA LISSU

ALIYEKUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR AFUNGUKA MAZITO SISI TUNAUTAKA URAIS 2030  ACT WAKUBALI MATOKEO TU

ALIYEKUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR AFUNGUKA MAZITO SISI TUNAUTAKA URAIS 2030 ACT WAKUBALI MATOKEO TU

MAALIM SEIF: JABALI la SIASA ALIYETEMWA CCM, Akafungwa MIAKA 3, AMEPIGANIA MAISHA Kwa SIKU 19..

MAALIM SEIF: JABALI la SIASA ALIYETEMWA CCM, Akafungwa MIAKA 3, AMEPIGANIA MAISHA Kwa SIKU 19..

USIYOYAJUA KUHUSU WAZANZIBAR WANAOISHI ULAYA - SHEIKH SABRI (KIPINDI MAALUM) 02-01-2026

USIYOYAJUA KUHUSU WAZANZIBAR WANAOISHI ULAYA - SHEIKH SABRI (KIPINDI MAALUM) 02-01-2026

💥 Удар

💥 Удар "ОРЕШНИКОМ" у границ НАТО! Киев созывает СОВБЕЗ ООН | Оперативные новости. День

Uwerevu wa Mjinga | TAHARIRI YA GUMZO

Uwerevu wa Mjinga | TAHARIRI YA GUMZO

OMO, Mwinyi uso kwa uso, ACT yaibana serikali mahakamani | GUMZO UPDATES

OMO, Mwinyi uso kwa uso, ACT yaibana serikali mahakamani | GUMZO UPDATES

SERIKALI YAKWAA KISIKI MAHAKAMANI, ACT WAZALENDO WAIBUKA KIDEDEA KESI YA UCHAGUZI

SERIKALI YAKWAA KISIKI MAHAKAMANI, ACT WAZALENDO WAIBUKA KIDEDEA KESI YA UCHAGUZI

🔴LIVE: WANNE WAKAMATWA KWA UNYANG’ANYI NA UPORAJI DAR

🔴LIVE: WANNE WAKAMATWA KWA UNYANG’ANYI NA UPORAJI DAR

ACT WAZALENDO KUPEWA KIBALI KUIPINGA INEC  - WABUNGE WA VITI MAALUM

ACT WAZALENDO KUPEWA KIBALI KUIPINGA INEC - WABUNGE WA VITI MAALUM

Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye mtihani mzito

Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye mtihani mzito

💥БЕРЕЗОВЕЦ: НЕ УСПЕЛИ США захватить танкеры, как ЗАМЕТИЛИ ЭТО! Гляньте, ЧТО РАСКОПАЛИ. Путин В АУТЕ

💥БЕРЕЗОВЕЦ: НЕ УСПЕЛИ США захватить танкеры, как ЗАМЕТИЛИ ЭТО! Гляньте, ЧТО РАСКОПАЛИ. Путин В АУТЕ

#KUTANA NA KIJANA MUUZA UFUTA MAARUFU ZNZ. Ep7

#KUTANA NA KIJANA MUUZA UFUTA MAARUFU ZNZ. Ep7

⚡ Протесты в Иране набрали ОБОРОТЫ! Режим – на грани КРАХА

⚡ Протесты в Иране набрали ОБОРОТЫ! Режим – на грани КРАХА

Sakata la kupotea alokuwa mgombea wa ndani Uwakilishi CCM Chaani- Familia yasema kuna mkono wa mtu

Sakata la kupotea alokuwa mgombea wa ndani Uwakilishi CCM Chaani- Familia yasema kuna mkono wa mtu

UTATA WA KISHERIA KATIKA KESI ZA ACT WAIBUKA MAHAKAMANI

UTATA WA KISHERIA KATIKA KESI ZA ACT WAIBUKA MAHAKAMANI

ИРАН НА ГРАНИ КРАХА! Протесты вылились в кровавый хаос. Генералы трясутся

ИРАН НА ГРАНИ КРАХА! Протесты вылились в кровавый хаос. Генералы трясутся

💥  РФ накрыла медиков в Киеве ПОВТОРНЫМ УДАРОМ! Масштабные ПОВРЕЖДЕНИЯ

💥 РФ накрыла медиков в Киеве ПОВТОРНЫМ УДАРОМ! Масштабные ПОВРЕЖДЕНИЯ

😮Трамп ВЛУПИЛ, где Кремль НЕ ЖДАЛ! Путин СБЕЖАЛ от Мадуро! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ РФ на ОПЕРАЦИЮ США

😮Трамп ВЛУПИЛ, где Кремль НЕ ЖДАЛ! Путин СБЕЖАЛ от Мадуро! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ РФ на ОПЕРАЦИЮ США

Zoezi Maalum la kuondosha Vibanda vya Barabarani

Zoezi Maalum la kuondosha Vibanda vya Barabarani

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]