"HATUOGOPI LOLOTE, HATUMUOGOPI YEYOTE, TUPO TAYARI", KAULI YA JESHI LA JWTZ WAKIPIGA TIZI LEO..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-07-08
Просмотров: 69760
Описание:
"HATUOGOPI LOLOTE, HATUMUOGOPI YEYOTE, TUPO TAYARI", KAULI YA JESHI LA JWTZ WAKIPIGA TIZI LEO..
Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ kupitia zoezi la doria ya makazi ambalo hufanyika katika maeneo ya misitu minene na maeneo mengine yasiyo fikika kwa magari, limesema lipo tayari kulinda rasilimali zote muhimu za nchi pamoja na matishio ya Kigaidi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi Msata Brigedia Jenerali William Likangaga wakati wa kufunga zoezi la doria ya makazi kwa askari wa kozi ya wateule na maafisa wakubwa lililohusisha matumizi ya helkopta ya kijeshi na magari katika uwanda wa mdondosho ambao hutumika kupokea huduma za kiutawala kwa vikosi vya mstari wa mbele vitani.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: