Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Atamani Fani za Gesi na Mafuta Kupewa Kipaumbele UDSM
Автор: The Chanzo
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 587
Описание:
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaendelea na ziara yake katika Mkoa wa Lindi, ambapo anatarajia kuzungumza na wananchi wa Lindi. Pamoja naye wameongozana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Lindi pamoja na aliyekuwa Raisa wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: