Mvua kubwa yasababisha hasara, wasafiri wakwama Pokot Magharibi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 3203
Описание: Mvua kubwa inayonyesha maeneo mbalimbali nchini imesababisha hasara kubwa. Zaidi ya magari 800 na mamia ya wasafiri wamekwama huko Morpus, Pokot magharibi. Aidha waombolezaji waliokuwa wanaelekea kwenye maziko ya marehemu Johana Ngeno nao pia wakikwama baada ya barabara kufurika. Na kama anavyoarifu willy lusige, hapa jijini nairobi, maelfu ya wakaazi pia wameathirika na mafuriko
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: