#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-03-19
Просмотров: 3138
Описание:
Wananchi wa vijiji vitatu vya Losimangori, Naiti na Mbuyuni kata Makuyuni wilayani Monduli Mkoani Arusha wamelalamikia Mauaji, na uharibifu mkubwa wa Miundombinu ya kibinadamu unaofanywa na tembo katika maeneo yao.
Hayo yamejiri leo Machi 18.2023 baada ya kutokea tukio lengine la Mauaji ya mzee wa miaka takribani 70 anayefaamika kwa jina la MEJOOLI MASIAYA huku ikidaiwa Mamlaka husika za wanyamapiri kushindwa kufika eneo la tukio kwa kudai gari yao haina mafuta.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: