Mwanajeshi tapeli alivyoingia kwenye mikono ya RPC MUROTO
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-10-30
Просмотров: 35520
Описание: Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limeendelea na Operation hekaheka vunja vijiwe ambapo Kamanda wa Polisi mkoa huo Gilles Muroto amewaeleza Waandshi wa habari baadhi ya matukio waliyokutana nayo ikiwemo kumshikilia kijana anayedaiwa kutoroka na na mavazi ya JKT na kuwatapeli watu mitaani kwa kudai kuwa atawasaidia kupata ajira.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: