Utangulizi wa Python Django na Mafunzo kwa Wanaoanza – Python Django Introduction and Beginners
Автор: Swahili Coderz
Загружено: 2025-04-14
Просмотров: 70
Описание:
Jifunze Python Django: Utangulizi na Mafunzo kwa Wanaoanza – Python Django Introduction and Beginners Tutorial"
Karibu kwenye video hii! Hapa utajifunza jinsi ya kuanza kutumia Python Django, hatua kwa hatua. Mafunzo haya yameandaliwa mahsusi kwa wanaoanza (beginners) bila uzoefu wowote. Tutakuelekeza jinsi ya kuinstall Django, kuunda project yako ya kwanza, na kuelewa jinsi Django inavyofanya kazi.
Hakuna uzoefu unahitajika – unahitaji tu kompyuta, internet, na nia ya kujifunza!
Tutatumia lugha rahisi kuelezea kila hatua. Mwisho wa mafunzo haya, utakuwa tayari kuanza kujenga tovuti zako mwenyewe kwa kutumia Django.
✅ Unajifunza nini?
Django ni nini na inafanya kazi vipi
Kuweka mazingira ya kazi (setup)
Kuunda project na app ya Django
Kusimamia routes na views
Kuelewa templates (HTML + Django)
👉 Subscribe ili kupata tutorials zaidi kwa Kiswahili na Kiingereza!
💬 Una swali? Uliza kwenye comments – tuko hapa kusaidia.
Learn Python Django: Introduction and Beginners Tutorial
Welcome to this video! Here, you'll learn how to start using Python Django, step by step. This tutorial is specially designed for beginners with no prior experience. We’ll guide you through installing Django, creating your first project, and understanding how Django works.
No experience is needed – all you need is a computer, internet, and the willingness to learn!
We’ll use simple language to explain every step. By the end of this tutorial, you’ll be ready to start building your own websites using Django.
✅ What will you learn?
What Django is and how it works
How to set up your development environment
How to create a Django project and app
How to manage routes and views
Understanding templates (HTML + Django)
👉 Subscribe for more tutorials in Swahili and English!
💬 Got a question? Ask in the comments – we’re here to help.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: