Biashara I Kenya huenda ikalazimika kuagiza mahindi kutoka Zambia
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 198
Описание:
Kenya huenda ikalazimika kuagiza mahindi kutoka Zambia huku baa la njaa likitishia maisha katika kaunti mbalimbali. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe amesema Zambia itauzia Kenya magunia milioni moja ya mahindi iwapo shehena iliyoko humu nchini haitatosha. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: