CRDB YAFIKA SHULE ILIYOKUWA NA UHABA WA MADAWATI | WAKABIDHI MADAWATI 40 | KAMPENI YA KETI JIFUNZE
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2025-12-06
Просмотров: 67
Описание: Katika mchakato wa urudishaji faida kwa jamii benki ya CRDB kanda ya magharibi imeendelea na kampeni yake ya keti jifunze, safari hii ikiwezesha watoto 120 wa shule ya msingi Hanihani iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora kuketi katika madawati na kujifunza kwa kutoa msaada wa madawati 40 yenye thamani ya shilingi milioni tatu na laki nne ambapo shule hiyo ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa madawati.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: