Meat production kiamaiko
Автор: Switch TV News
Загружено: 2019-07-26
Просмотров: 2954
Описание:
Licha ya hofu ya ulaji nyama ilioko kwa sasa miongoni mwa wakenya hasa walioko mijini, biashara ya nyama inaonekana kunoga eneo la kiamaiko huko huruma, kutokana na ongezeko la wanunuzi ambao wengi wanalisifu kwa umaarufu wa biashara ya nyama ya mbuzi na kondoo.
Mwanahabari wetu Nixon Kisaka alizuru eneo hilo, na anatupa taswira kamili kuhusu nini hasa kinachowavutia wanunuzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: