KATIBU WA MUFTI ADAIWA KUWA NI ASKARI WA VIKOSI - JUSSA
Автор: ZANZIBAR YETU
Загружено: 2025-10-07
Просмотров: 10131
Описание:
DKT MWINYI ADAIWA KUMFANYIA KHIYANA MAALIM SEIF KWENYE MARIDHIANO
Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea huyo Ismail Jussa Ladhu, amesema kwamba Maalim Seif alifanyiwa khiyana licha ya kukubali kuingia kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa baada ya watu 21 kuawa lakini walimwendea kinyume kwa kutotekeleza yote waliyokubaliana baada ya mazungunzo yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: