ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Karibu Ufahamu Maana Halisi Ya " Utatu Mtakatifu "

Автор: i am Catholic | Tanzania

Загружено: 2022-06-19

Просмотров: 2369

Описание: Tumsifu Yesu Kristo ... Milele Amina
Karibu Katika Channel Yetu Yenye Lengo La Uinjilishaji
Msimuliaji : Rose James Kipeleka
Muandaaji : Nemes Victor Michael

Tufuatilie Hapa Zaidi

Soma Zaidi Pia _ https://yesuanaokoa.blogspot.com/2019...
MUNGU MMOJA, NAFSI TATU (UTATU MTAKATIFU WA MUNGU)
Nafsi ni nini?
Kabla ya kuendelea kumjua Mungu katika nafasi tatu anazochukua yaani nafsi tatu ambazo ni Mungu Baba, Mungu mwana na Roho Mtakatifu, hebu tuangalie nini maana ya nafsi? Kwa lugha ya kigeni, neno nafsi linajulikana kama “soul’ wakati neno roho linajulikana kama “spirit”. Mungu ni Roho na wakati huo huo ni Nafsi tatu ndani ya Roho moja. Tofauti na mwanadamu ambaye ana roho, nafsi na mwili, Mungu hana mwili wa nyama na damu kama hii tuliyonayo sisi wanadamu au viumbe wengine mfano wanyama.

Nafsi ni hisia au matamanio yanayoongoza matendo au tabia za mwili. Kwa maana nyingine, nafsi ni hisia au matamanio yanayoamua ubinadamu wa mtu. Nafsi za wanadamu zinaishi kwa kufuata matamanio ya vitu vionekanavyo kwa macho hapa duniani. Na ndio sababu mwanadamu anayeishi kwa kufuata tamaa za nafsi yake kamwe hawezi kumpendeza Mungu. Hata hivyo, roho ya mwanadamu inaishi kumpendeza Mungu ikishindana na nafsi. Hadi pale mwanadamu anapopokea neema ya kuongozwa na Roho Mtakatifu ndipo roho yake itaweza kuishinda nafsi na hivyo kuisha maisha ya kumpendeza Mungu.

Kwa hiyo, matendo ya Mungu yamegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo yanatufanya tumuone Mungu mmoja ndani ya nafsi tatu. Matendo hayo ndiyo tabia za Mungu. Hebu tuangalie tabia au matendo hayo ya Mungu katika nafsi tatu.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Karibu Ufahamu Maana Halisi Ya " Utatu Mtakatifu "

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

UTATU MTAKATIFU NI NINI? | HAKUNA MIUNGU WATATU | With Pastor Daudi Kaisi

UTATU MTAKATIFU NI NINI? | HAKUNA MIUNGU WATATU | With Pastor Daudi Kaisi

РИГА БЫЛА ЕВРЕЙСКИМ ГОРОДОМ. Куда исчезли 43 000 человек за 6 месяцев

РИГА БЫЛА ЕВРЕЙСКИМ ГОРОДОМ. Куда исчезли 43 000 человек за 6 месяцев

Fr. Titus Amigu afafanua kinaga ubaga maana ya Ijumaa kuu na mambo matano yaliyofichika

Fr. Titus Amigu afafanua kinaga ubaga maana ya Ijumaa kuu na mambo matano yaliyofichika

KWANINI MAKAO MAKUU YA KANISA KATOLIKI YAKO ROMA NA SIO YERUSALEMU?

KWANINI MAKAO MAKUU YA KANISA KATOLIKI YAKO ROMA NA SIO YERUSALEMU?

#Mix: Mkusanyiko Nyimbo Katoliki za Shukrani | 1 Hour 30 Minutes | Non-Stop

#Mix: Mkusanyiko Nyimbo Katoliki za Shukrani | 1 Hour 30 Minutes | Non-Stop

Tazama Mbiu ya Pasaka ilivyoimbwa vizuri na Shemasi Hamilton Kikoti mbele ya Askofu Mkuu Ruwa'ichi

Tazama Mbiu ya Pasaka ilivyoimbwa vizuri na Shemasi Hamilton Kikoti mbele ya Askofu Mkuu Ruwa'ichi

Мел Гибсон Всё Раскрывает | Это Действительно Произошло В Страстях Христовых | Х.Х. Бенитес

Мел Гибсон Всё Раскрывает | Это Действительно Произошло В Страстях Христовых | Х.Х. Бенитес

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.

Почему иудеи не считают Иисуса Мессией?

Почему иудеи не считают Иисуса Мессией?

"БЛИЗНЕЦЫ"

USIFIWE UTATU MTAKATIFU BY FR G KAYETA.

USIFIWE UTATU MTAKATIFU BY FR G KAYETA.

ISHARA 11 ZA MTU ALIYE NA ROHO MTAKATIFU HALISI

ISHARA 11 ZA MTU ALIYE NA ROHO MTAKATIFU HALISI

MCH. NDACHA AMTOLEA UVIVU DANIEL MWANKEMWA; FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU NI FUNDISHO LA SHETANI

MCH. NDACHA AMTOLEA UVIVU DANIEL MWANKEMWA; FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU NI FUNDISHO LA SHETANI

MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA

MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA

FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU KATIKA BIBLIA.

FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU KATIKA BIBLIA.

Краткое Содержание и суть Библии  за 25 минут

Краткое Содержание и суть Библии за 25 минут

Эфиопские монахи обнародовали переведенный отрывок о воскресении, мурашки по коже…

Эфиопские монахи обнародовали переведенный отрывок о воскресении, мурашки по коже…

TAFAKARI YA JUMAPILI YA UTATU MTAKATIFU

TAFAKARI YA JUMAPILI YA UTATU MTAKATIFU

Kwa Nini Ekaristi ni Moyo wa Kanisa Katoliki..?

Kwa Nini Ekaristi ni Moyo wa Kanisa Katoliki..?

#HOMILIA: Askofu Mkuu Ruwa'ichi atolea Ufafanuzi Fumbo la Utatu Mtakatifu linalochanganya Wakatoliki

#HOMILIA: Askofu Mkuu Ruwa'ichi atolea Ufafanuzi Fumbo la Utatu Mtakatifu linalochanganya Wakatoliki

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]