Wawake wajawazito wanufaika baada ya hospitali kujngwa Makueni
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 4
Описание: Zaidi ya watu elfu nane wameanza kunufaika na hospitali mpya iliyojengwa kwa ushirikiano wa serikali ya Makueni na shirika la WORLD VISION katika eneo la Ngakaa huko Kibwezi west, hospitali hiyo iliyotumia takriban shilingi milioni 123 ikitarajiwa kupunguza visa vya wanawake kujifungulia nyumbani kwenye maeneo hayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: