ZITTO AKANUSHA UFISADI LICHA YA WAZIRI KUAGIZA UCHUNGUZI KUFANYIKA
Автор: KIGOMA FRONT-PAGE
Загружено: 2018-08-28
Просмотров: 155
Описание: Baada ya story za ufisadi ndani ya manisapaa ya Kigoma ujiji kutrend kwa wiki kadhaa kufuatia ziara ya naibu waziri wa fedha na mipango DK. ASHATU KIJAJI, alipoonyesha kutokuridhishwa na ujenzi wa vyumba 9 vya madarasa katika shule ya msingi Kigoma kwa thamani ya tsh milioni 2018, mbunge wa Kigoma mjini zitto zuberi kabwe kwa upande wake haoni kama kunatatizo, anaridhishwa na ujenzi uoendelea na kuwataka viongozi kuacha kuyumbishwa na maoni ambayo yanaweza kudhorotesha juhudi za kazi na kuwatisha wafadhali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: