Brian Visiahwa ashinda shilingi 500,000 kwenye shindano la wapenzi kwenye aviator
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-02-14
Просмотров: 3055
Описание: Brian Visiahwa mpishi katika shule moja eneo la juja kaunti ya kiambu amepamba siku ya wapendanao " valentines day" kwa kuwa mshindi wa shindano la wapenzi kwenye aviator. Brian amejishindia shilingi nusu milioni kwa kuwa na zidisho la juu kweye shabiki aviator wiki hii. Aidha ametunukiwa safari ya ndege kupamba zaidi siku hii ya mapenzi.steve shitera na kikosi cha shabiki.com wamejumuika naye kwa mbwembwe hizo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: