Mali Taka ~Jeff Ft RKG
Автор: JEFF WANDABI MUSIC
Загружено: 2023-05-03
Просмотров: 447
Описание:
WASTE MANAGEMENT IS A GOOD THING. LET'S TURN IT INTO WEALTH TO HAVE GOOD HEALTH
MALI TAKA
VERSE 1
Mali tunayo nyumbani
taka taka imejaa
Mali tunayo shuleni
taka taka imetapakaa
Mali tunayo mitaani
taka taka kwenye jaa
taka taka majitaka
ni Mali tusiojua
taka taka ya zizini
ni Aina ya taka taka
taka taka ya majini
ni Aina ya taka taka
CHORUS
taka taka majitaka
ni Aina ya taka taka
taka taka majitaka
ni Mali tusiojua
(INSTRUMENTATION; GUITAR)
VERSE 2
RAP
Yeah nikiangalia kusini
taka taka inachungulia
nikiangalia kaskazini
majitaka inaelea
najiuliza akilini
kipi kinaendelea
tumekosa umakini dunia yetu tunachafua
unajiita wewe masikini
geuza taka taka kuwa utajiri wako
na ukifanya Kwa makini
unaweza taka ukairycle
ukafanya ya thamani
ukaigeuza iwe mapambo
au mbolea ya shambani
tuwache kutegemea ya ng'ambo
usitupe taka ovyo
inaweza kuwa hatari
mbona niwaeleze hivyo mchukue hatari
tutumie taka vilivyo
iwe rasmali
na tukifanya hivyo
atatubariki jalali yeah
INSTRUMENTATION
REPEAT CHORUS TILL FADE
GENRE
REGGAE
ALBUM
Mali Taka
MUSIC ARRANGEMENT, COMPOSING AND PROGRAMMING
Jeff Wandabi
MASTERING
Gerry Mubanda & Jeff Wandabi
LEAD GUITAR
Gerry Mubanda
AUDIO RECORDING
Asaph Studio in Kitale
PRODUCER
Jeff Wandabi
Gerry Mubanda
DIRECTOR
Jeff Wandabi & Gerry Mubanda
FEATURING
RKG
Caren Asava
MUSIC CONSULTANT
David Wandabi & Alex Wandabi
Release date 2/5/2023
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: