WALIOMUUA KINYAMA SHYROSE MWANAFUNZI CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAUAWA KWA RISASI MBEYA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-09-29
Просмотров: 10674
Описание:
Watuhumiwa watatu wa tukio la utekaji na mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mahande, wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati wakiwatoroka polisi baada ya kukamatwa na jeshi hilo mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Benjamin Kuzaga, amesema baada ya kuripotiwa taarifa hiyo september 14 mwaka huu, walianza ufuatiliaji na September 24 na 25 walifanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao Marwa Nyahega, Edward Kayuni na Websta Mwantebele ambao wamefariki
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: