Hamisa Mobetto kafunguka Mahakama kumsuluhisha na Diamond 'Ugomvi wa familia uacheni tu'
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-02-08
Просмотров: 408145
Описание: Leo February 8, 2018 Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi na mzazi mwenzake, Diamond Platnumz kuhusu malezi ya mtoto wao. Hamisa Mobetto amezungumza na AYO TV kuhusu hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: