EXCLUSIVE: BABA WA WATOTO WAWILI WALIOPOTEA LAMADI SIMIYU AFUNGUKA | NAOMBEA WATOTO WAPATIKANE TU.
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2024-08-23
Просмотров: 777
Описание:
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kuwepo kwa taarifa za kupotea kwa watoto wawili wa familia moja katika kitongoji cha Itongo B,Kata ya Lamadi wilayani Busega Mkoani Simiyu na kusababisha maandamano yaliyoambatana na vurugu mnamo Agosti 21,2024,baba wa watoto hao umeeleza hali halisi ilivyotokea.
Akizungumza na Jambo Media Agosti 23,2023 Bw.Godfrey Amandus Kweka amesema kwamba watoto wake Rehema (15) na Stephano Godfrey (1) walipotea Agosti 19,2024 na kufafanua namna watoto hao walivyopotea.
Sikiliza Jambo FM na kutufuatilia kupitia www.jambofm.co.tz kujifunza kugangamala mwanzo mwisho ili uishi maisha freshi kila siku.
#jambofmtz #Shinyanga #Gangamalamwanzomwisho
#jambotanzania #busega #lamadi #simiyu #news #exclusive #news #gospelmusic #automobile #radiojambo #mchazajimpyawasimba
#masandawana #southafrica #simbatanzania #simbasc
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: