“Mfuko wa Ajabu Uliobadilisha Maisha ya Maskini – Hadithi ya Kusisimua”
Автор: Simulizi na sharonTV
Загружено: 2025-09-25
Просмотров: 897
Описание:
"Hadithi hii inasimulia maisha ya kijana maskini aliyeishi maisha ya tabu mpaka siku moja alipopata mfuko wa ajabu. Mfuko huo ulimpa kila kitu alichotamani, lakini tamaa na husuda za kijiji zikabadilisha baraka kuwa laana. Je, utajiri wa ghafla unaweza kuleta furaha au matatizo makubwa zaidi?
Karibu ujifunze funzo kubwa kupitia hadithi hii ya kusisimua yenye mafunzo ya maisha.
👉 Usisahau ku-subscribe, kupenda video hii, na kushirikisha marafiki zako kwa hadithi zaidi kila wiki!
📌 Hadithi hii ina funzo: Tamaa huharibu, lakini ukarimu hujenga baraka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: