Watuhumiwa wa kundi la uhalifu Tabora wakamatwa msituni wakiwa na magunia 59 ya bangi
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-09-24
Просмотров: 2646
Описание:
Polisi Mkoani Tabora imewakamata watu wanane wanaotuhumiwa kujihusisha na kikundi cha Sanjjo kinachodaiwa kuendesha matukio mbalimbali ya uhalifu na kujificha katikati ya msitu wa hifadhi ya Igombe.
Watu hao wamekamatwa wakiwa na zaidi ya magunia 59 ya bangi, baada ya polisi kuvamia msitu wa hifadhi ya Igombe ikiwa ni muendelezo wa operesheni ya kuwasaka watuhumiwa hao baada ya hivi karibuni kumkamata kiongozi wao Ndodi Galamji aliyetoa taarifa za walipo wenzake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: