KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI
Автор: Ricc Mbeya
Загружено: 2021-11-02
Просмотров: 4531
Описание:
KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI
1 Wakorintho 11:21-30
By Pastor Sunday Matondo (0754448504)
Meza ya Bwana
Ni ushirika mtakatifu
SABABU ZA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA
Kutambua kazi ya Yesu msalabani
Kudumisha umoja wa kanisa
Kutukumbusha kuwa Yesu anarudi
Ni kwa ajili ya uponyaji wa miili na roho zetu
KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI
-Ni kushiriki ukiwa unamchukia ndugu yako
-Kuishi bila mapatano/kusamee
-Ni kushiriki ukiwa na dhambi
-Ni kushiriki pasipo kujali/Kujipambanua
-Ni kushiriki kwa mazoea
MADHARA YA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI
-Mungu kuwaacha
-Udhaifu kimwili na kiroho
-Wengine wamekufa kimwili/kiroho.
Mungu wa mbinguni akubariki,
Kwa maswali au ushauri piga namba (0754448504)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: