Wagonjwa wa Ukimwi wataathirika vipi baada ya Marekani kukata ufadhili?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-03-25
Просмотров: 2129
Описание: Bunge nchini Marekani linatarajiwa kujadili hatima ya hazina ya dharura ya rais inayoangazia masuala ya virusi vya HIV na Ukimwi (PEPFAR) ambayo muda wake unafikia kikomo mwishoni mwa mwezi huu wa Machi. Lakini PEPFAR imekuwa na umuhimu gani kwa wagonjwa wa Ukimwi Afrika?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: