Nimejaribu AI 5: ChatGPT, Claude, Copilot, Grok & Gemini — Faida na Hasara za Kila AI
Автор: Hendry Tech
Загружено: 2025-12-21
Просмотров: 26
Описание:
Hii video ni special kwa sababu nimejaribu AI tools tano kwa muda wa miezi kadhaa:
0.40 ChatGPT by OpenAI
2.27 Claude AI by Anthropic
4.32 Copilot by Microsoft
6.31 Grok AI by xAI
8.41 Gemini by Google
Kila moja ina pros na cons zake. ChatGPT ni maarufu sana lakini ina limits kwenye free plan, Claude ni creator mzuri kwa documents na presentations, Copilot ni rafiki zaidi na ina podcasts na group chats, Grok ni robotic kidogo lakini unique kwa video creation, na Gemini ni powerful kwenye search na phone integration.
🎯 Lengo langu ni kukupa overview ya hizi AIs ili ujue ipi inaweza kukufaa zaidi. 👉 Kama unataka deep dive video kwa kila moja (mfano: ChatGPT pekee au Copilot pekee), comment chini na andika: DEEP DIVE — [AI name].
🌍 Kwa tutorials zaidi, product reviews, na offline AI tools kwa watumiaji wa Tanzania na Africa, tembelea website yangu: hendrytechfamily.wordpress.com.
Usisahau ku-like, share, na subscribe kwa more tech insights. Let’s keep exploring together 🚀
Tags:
#hendrytech #ai #chatgpt
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: