MTOLEA Alivyosimama Bungeni kutangaza Anajiuzulu
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-11-15
Просмотров: 138896
Описание:
BREAKING: MBUNGE Mtolea alivyotangaza kujiuzulu ndani ya Bunge Leo
Mbunge wa TEMEKE (CUF), Abdallah Mtolea amejivua uanachama na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya CUF akidai kumekuwa na migogoro mingi ndani ya chama chake. Mtolea ametangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma hii leo Novemba 15, 2018.
Baada ya kumaliza kutangaza kujiuzulu, Mtolea alitoka nje ya Ukumbi wa Bunge na kuondoka bungeni hapo.
Taarifa hizo zimethibitishwa pia na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, ambaye amesema amepokea barua ya kujiuzulu kwake.
Aidha, Mtolea amevikaribisha vyama vingine vya siasa nchini kufanya naye kazi akidai bado anatamani kuendelea kuwatumikia wananchi wa Temeke
#MTULIA #BUNGENI
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
aceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV
Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: